cemsCLIENT EXPERIENCE MANAGEMENT SYSTEM
Tumehamia anwani mpya

ICSP sasa ni CEMS

Mfumo ule ule unaoujua, sasa kwa jina jipya na anwani mpya. Data yako, akaunti yako na password yako ni zile zile.

icsp.co.tz cems.co.tz

Utapelekwa: https://cems.co.tz/

Nenda cems.co.tz sasa
cems.co.tz iko hewani
60sekunde zimebaki
Password ile ile
SMS kwa jina CEMS
Data yako iko salama

Kinachokusubiri kwenye CEMS

Kila kitu unachohitaji kuhudumia wateja wako vizuri, mahali pamoja.

Ingia kama kawaida

Tumia username au email na password yako ya zamani. Hakuna haja ya kujisajili upya.

Hifadhi anwani mpya

Ukifika cems.co.tz bonyeza Ctrl + D (au ⌘ + D) kuweka bookmark. Kwenye simu: Share → Add to Home Screen.

Fungua kwenye simu

Scan QR hii kwa kamera ya simu yako kufungua cems.co.tz.